2018 GDP (current prices), GDP growth rates & GDP per capitas according to IMF

2018 GDP (current prices), GDP growth rates & GDP per capitas according to IMF

Its not only the GDP alone that matters...look at GDP per capita as well...Nigeria's GDP might be big but its GDP per capita is very low compared to South Africa....
Ni huruma kubwa sana.. Nigerian GDP/capital is almost like that of Kenya wakati wana GDP almost 4 times big.. Kikundi cha watu kinanyonya Pesa yote..
 
Yaani Rwanda , sawa na mkoa wa Simiyu wanatufukza hivi?
 
Kenya is the most attractive economy for investors in East Africa..not tz or ethiopia
Zile lobby zenu za uwongo za kusema Kilimanjaro is Kenya na if you invest in Kenya you'll get the whole of Africa market zinaanza kuwaishia nguvu. The last 10yrs mnajuwa FDI nyingi imekwenda wapi.
 
Ni huruma kubwa sana.. Nigerian GDP/capital is almost like that of Kenya wakati wana GDP almost 4 times big.. Kikundi cha watu kinanyonya Pesa yote..
shida ya Nigeria ni population kubwa...ingawa wana GDP kubwa, wana watu karibia millioni 200..these are more mouths to feed and more people to cater for...plus corruption pia na terrorism nikimalizia...so even with all those oil resources, Nigeria is a very useless country...
 
Zile lobby zenu za uwongo za kusema Kilimanjaro is Kenya na if you invest in Kenya you'll get the whole of Africa market zinaanza kuwaishia nguvu. The last 10yrs mnajuwa FDI nyingi imekwenda wapi.
Kenya inaongoza kwa FDI in the last 10 years kaka...tafuta data online zipo tu..kisha Kilimanjaro ni mlima wenu mbona hata watalii wanalijua hilo ila Kenya ina benefit pia toka kwa mlima kilimanjaro sababu ya Amboseli national park ambayo imepakana na mlima wenyewe...
 
Unapenda kufunguwa uzi, funguwa wa hii.
 
shida ya Nigeria ni population kubwa...ingawa wana GDP kubwa, wana watu karibia millioni 200..these are more mouths to feed and more people to cater for...plus corruption pia na terrorism nikimalizia...so even with all those oil resources, Nigeria is a very useless country...
Damn ndio nimechungulia Google sasahv, Hiyo population sio ya mchezo.. Lakini hawa kikubwa ni CORRUPTION.. These people are too corrupt.. Ukiwa na watu wengi ni nguvu kazi nzuri sana kama wakiwa wanawajibika mfano China.. Kua na man power ni advantage tena hasa waafrika ambao asilimia kubwa ni cheap..
 
true...i hadnt thought of that...China has managed to use its large population well...
 
Cheza kote kwenye uchumi lakini usicheza na employment. Wa TZ 2020 najitosa kwenye ubunge kwa tiketi ya ccm. Nataka nipambane na employment. Niko na mikakati mizuri sana. Kuna kitu nimejifunza hapa Moscow Russia. This guys are very smart.
2018-05-21_12.28.24.jpg
 
Attachments

  • 2018-05-21_12.28.24.jpg
    2018-05-21_12.28.24.jpg
    27.2 KB · Views: 27
Sad, unakosa data unaleta utumbo.
kwa FDI sahau....ktk bara la Africa FDI imenyakuliwa na nchi nne tu...SA, Morocco, Nigeria na Kenya bas...wengine flower girls tu...wapo kusindikisha
 
Nimenotice kitu kimoja.. uchumi wa Tanzania unakua at a decreasing rate..
Labda macho yangu ni mabovu lakini
 
Wakati mnapingana katika huu uzi South Africa, Morocco, Angola, Algeria wametuacha kabisa kwa maendeleo.
 
GDP (current prices)
Nigeria ($408.6 Billion)
South Africa ($370.3 Billion)
Algeria ($197.6 Billion)
Morocco ($120.9 Billion)
Angola ($119.4 Billion)
Kenya ($88.2 Billion)
Ethiopia ($85.6 Billion)
Tanzania ($56.6 Billion)
Ghana ($51.6 Billion)
Rwanda ($9.9 Billion)

GDP growth rates

Nigeria (2.1%)
South Africa (1.5%)
Algeria (3.0%)
Morocco (3.1%)
Angola (2.2%)
Kenya (5.5%)
Ethiopia (8.5%)
Tanzania (6.4%)
Ghana (6.3%)
Rwanda (7.2%)

GDP per capita
Nigeria ($2107)
South Africa ($6459)
Algeria ($4669)
Morocco ($3435)
Angola ($4114)
Kenya ($1837)
Ethiopia ($909)
Tanzania ($1110)
Ghana ($1779)
Rwanda ($819)

http://www.imf.org/external/datamapper/NGDPD@WEO/OEMDC/ADVEC/WEOWORLD?year=2018

Tanzania - PPP

Firefox_Screenshot_2018-05-22T01-45-36.980Z.png

Umeiona hiyo PPP ($178) au unajifanya kipofu, hiyo ndiyo nguvu halisi ya pesa ya Tanzania ambapo kwa thamani yake ya sawa na Ksh 40 unapata chakula safi (kumudu maisha). Siyo unatumia vipimo vya 'nominal' ambavyo vinatoa 'flat figures' tuu bila kujali uwezo halisi wa fedha kununua bidhaa.
 
kisha kwa mambo ya mshahara mbona per capita income ya Kenya imeshinda ya danganyika na ethiopia?😀😀😀
Kenya ($1837)
Ethiopia ($909)
Tanzania ($1110)
However, according to GDP per capita statistics, the average Kenyan is richer than the average tanzanian and earns more money than the average tanzanian..

Hivi wewe unajua hisabati, mshahara mkubwa wakati gharama ya maisha kubwa mwisho wa siku bila bila unabaki masikini tuu.
 
kwa FDI sahau....ktk bara la Africa FDI imenyakuliwa na nchi nne tu...SA, Morocco, Nigeria na Kenya bas...wengine flower girls tu...wapo kusindikisha
Weka hiyo in real cash terms, FDI ina hesabiwa in cash spend sio kwa number of projects. Kenya mtu akifunguwa kibanda cha kuku mnaweka ni FDI, project moja Tanzania ni 20 za Kenya in cash terms. Anzia 2010 au hata nyuma ya hapo ukitaka.
 
now this is an important factor...inclusivity...but dont forget about GDP per capita as well...it is not accurate but it gives a picture of how rich a country is
Per capita haina maana yoyote ndugu. Maana inatokana na gdp hiyo hiyo. Hayo ni mahesabu tu ya kuchukua GDP/Population. Tunapoongelea exclusivity maana yake uchumi unakuwa wa wote. Ukiangalia nchi kama Nigeria GDP haiwasaidii chochote maana players ya uchumi wao ni wachache tu wengine ni mashabiki tu. Vivyo hivyo kenya maskini wa kenya ni maskini wa kutupwa. Players wa uchumi ni wachache.

Nchi za ulaya uchumi wao ni jumuishi. Jaribu kulinganisha raia wa Norway na USA. Norway maisha yao yapo vizuri maana wamewekeza kwenye uchumi jumuishi. Lakini GDP ya USA ni kubwa. Ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom