Junior Clinton Mr.
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 1,075
- 1,423
Ni huruma kubwa sana.. Nigerian GDP/capital is almost like that of Kenya wakati wana GDP almost 4 times big.. Kikundi cha watu kinanyonya Pesa yote..Its not only the GDP alone that matters...look at GDP per capita as well...Nigeria's GDP might be big but its GDP per capita is very low compared to South Africa....
Zile lobby zenu za uwongo za kusema Kilimanjaro is Kenya na if you invest in Kenya you'll get the whole of Africa market zinaanza kuwaishia nguvu. The last 10yrs mnajuwa FDI nyingi imekwenda wapi.Kenya is the most attractive economy for investors in East Africa..not tz or ethiopia
shida ya Nigeria ni population kubwa...ingawa wana GDP kubwa, wana watu karibia millioni 200..these are more mouths to feed and more people to cater for...plus corruption pia na terrorism nikimalizia...so even with all those oil resources, Nigeria is a very useless country...Ni huruma kubwa sana.. Nigerian GDP/capital is almost like that of Kenya wakati wana GDP almost 4 times big.. Kikundi cha watu kinanyonya Pesa yote..
Kenya inaongoza kwa FDI in the last 10 years kaka...tafuta data online zipo tu..kisha Kilimanjaro ni mlima wenu mbona hata watalii wanalijua hilo ila Kenya ina benefit pia toka kwa mlima kilimanjaro sababu ya Amboseli national park ambayo imepakana na mlima wenyewe...Zile lobby zenu za uwongo za kusema Kilimanjaro is Kenya na if you invest in Kenya you'll get the whole of Africa market zinaanza kuwaishia nguvu. The last 10yrs mnajuwa FDI nyingi imekwenda wapi.
Unapenda kufunguwa uzi, funguwa wa hii.Kenya inaongoza kwa FDI in the last 10 years kaka...tafuta data online zipo tu..kisha Kilimanjaro ni mlima wenu mbona hata watalii wanalijua hilo ila Kenya ina benefit pia toka kwa mlima kilimanjaro sababu ya Amboseli national park ambayo imepakana na mlima wenyewe...
fungua uzi???? unasema nini wewe? any way soma pale bottom rightUnapenda kufunguwa uzi, fungiwa wa hii.
Uzi = threadfungua uzi???? unasema nini wewe?
Damn ndio nimechungulia Google sasahv, Hiyo population sio ya mchezo.. Lakini hawa kikubwa ni CORRUPTION.. These people are too corrupt.. Ukiwa na watu wengi ni nguvu kazi nzuri sana kama wakiwa wanawajibika mfano China.. Kua na man power ni advantage tena hasa waafrika ambao asilimia kubwa ni cheap..shida ya Nigeria ni population kubwa...ingawa wana GDP kubwa, wana watu karibia millioni 200..these are more mouths to feed and more people to cater for...plus corruption pia na terrorism nikimalizia...so even with all those oil resources, Nigeria is a very useless country...
true...i hadnt thought of that...China has managed to use its large population well...Damn ndio nimechungulia Google sasahv, Hiyo population sio ya mchezo.. Lakini hawa kikubwa ni CORRUPTION.. These people are too corrupt.. Ukiwa na watu wengi ni nguvu kazi nzuri sana kama wakiwa wanawajibika mfano China.. Kua na man power ni advantage tena hasa waafrika ambao asilimia kubwa ni cheap..
no need of a new thread...tumalizie tu hapaUzi = thread
Funguwa uzi wa FDI 2010 -18 Kenya vs Tanzania maana hamuwawezi Ethiopia.
Sad, unakosa data unaleta utumbo.no need of a new thread...tumalizie tu hapa
https://www.camara.es/sites/default/files/publicaciones/the-africa-investment-report-2016.pdf
check this out
FDI INTO AFRICA BY PROJECT NUMBERS 2015
South Africa 118
Kenya 85
Morocco 71
Egypt 59
Nigeria 51
Ghana 40
Mozambique 29
Ethiopia 27
Côte d’Ivoire 26
Tanzania 20
Uganda 20
Other 159
Total 705
kwa FDI sahau....ktk bara la Africa FDI imenyakuliwa na nchi nne tu...SA, Morocco, Nigeria na Kenya bas...wengine flower girls tu...wapo kusindikishaSad, unakosa data unaleta utumbo.
GDP (current prices)
Nigeria ($408.6 Billion)
South Africa ($370.3 Billion)
Algeria ($197.6 Billion)
Morocco ($120.9 Billion)
Angola ($119.4 Billion)
Kenya ($88.2 Billion)
Ethiopia ($85.6 Billion)
Tanzania ($56.6 Billion)
Ghana ($51.6 Billion)
Rwanda ($9.9 Billion)
GDP growth rates
Nigeria (2.1%)
South Africa (1.5%)
Algeria (3.0%)
Morocco (3.1%)
Angola (2.2%)
Kenya (5.5%)
Ethiopia (8.5%)
Tanzania (6.4%)
Ghana (6.3%)
Rwanda (7.2%)
GDP per capita
Nigeria ($2107)
South Africa ($6459)
Algeria ($4669)
Morocco ($3435)
Angola ($4114)
Kenya ($1837)
Ethiopia ($909)
Tanzania ($1110)
Ghana ($1779)
Rwanda ($819)
http://www.imf.org/external/datamapper/NGDPD@WEO/OEMDC/ADVEC/WEOWORLD?year=2018
kisha kwa mambo ya mshahara mbona per capita income ya Kenya imeshinda ya danganyika na ethiopia?😀😀😀
Kenya ($1837)
Ethiopia ($909)
Tanzania ($1110)
However, according to GDP per capita statistics, the average Kenyan is richer than the average tanzanian and earns more money than the average tanzanian..
Weka hiyo in real cash terms, FDI ina hesabiwa in cash spend sio kwa number of projects. Kenya mtu akifunguwa kibanda cha kuku mnaweka ni FDI, project moja Tanzania ni 20 za Kenya in cash terms. Anzia 2010 au hata nyuma ya hapo ukitaka.kwa FDI sahau....ktk bara la Africa FDI imenyakuliwa na nchi nne tu...SA, Morocco, Nigeria na Kenya bas...wengine flower girls tu...wapo kusindikisha
Per capita haina maana yoyote ndugu. Maana inatokana na gdp hiyo hiyo. Hayo ni mahesabu tu ya kuchukua GDP/Population. Tunapoongelea exclusivity maana yake uchumi unakuwa wa wote. Ukiangalia nchi kama Nigeria GDP haiwasaidii chochote maana players ya uchumi wao ni wachache tu wengine ni mashabiki tu. Vivyo hivyo kenya maskini wa kenya ni maskini wa kutupwa. Players wa uchumi ni wachache.now this is an important factor...inclusivity...but dont forget about GDP per capita as well...it is not accurate but it gives a picture of how rich a country is