Nakuomba leo tujadili kisomi. Kwa manufaa ya nchi zetu. Tuache kujadili mishabiki. Mimi nataka baadae nije na mchanganuo mzuri. Maana mada hii ni tamu sana.Kenya inaongoza kwa FDI in the last 10 years kaka...tafuta data online zipo tu..kisha Kilimanjaro ni mlima wenu mbona hata watalii wanalijua hilo ila Kenya ina benefit pia toka kwa mlima kilimanjaro sababu ya Amboseli national park ambayo imepakana na mlima wenyewe...
Achana na source hizo za kubumba bumba.no need of a new thread...tumalizie tu hapa
https://www.camara.es/sites/default/files/publicaciones/the-africa-investment-report-2016.pdf
check this out
FDI INTO AFRICA BY PROJECT NUMBERS 2015
South Africa 118
Kenya 85
Morocco 71
Egypt 59
Nigeria 51
Ghana 40
Mozambique 29
Ethiopia 27
Côte d’Ivoire 26
Tanzania 20
Uganda 20
Other 159
Total 705
Haya mambo ya kitalaam ndugu. Kaa pembeni kidogo ujifunze.Yaani Rwanda , sawa na mkoa wa Simiyu wanatufukza hivi?
A country is classified among the Least Developed Countries if it meets three criteria:[2][3]Damn ndio nimechungulia Google sasahv, Hiyo population sio ya mchezo.. Lakini hawa kikubwa ni CORRUPTION.. These people are too corrupt.. Ukiwa na watu wengi ni nguvu kazi nzuri sana kama wakiwa wanawajibika mfano China.. Kua na man power ni advantage tena hasa waafrika ambao asilimia kubwa ni cheap..
Nayajua usidhani JF uko peke yako!!Haya mambo ya kitalaam ndugu. Kaa pembeni kidogo ujifunze.
Duh! Okay unajua maana ya GDP?Nayajua usidhani JF uko peke yako!!
So Tz ina izidi nn Rwanda? Taja chochote?
Gdp per capita sio mambo ya mshahara tafadhaliHii inaonyesha jinsi kwenye ukanda huu Kenya inaanza kuonjesha gharama ya uzalishaji inakuwa juu. Mshahara na maisha imeanza kuwa ghali kulingamisha na Ethiopia na Tanzania. Good news to us.
What we dont make up in wages, we cover in having a well educated labour force that know how to speak mandarin, english, we also have the most reliable business environment.. thus take less time to be taught new skills.... our new sylabuss now wants to make mandarin a mainstream language .....Sasa unachokiseama hapa doesn't make kenya attractive to investors with high wages and high cost of leaving kulinganisha na Ethiopia na Tanzania? Linganisha na nilichosema mwanzo Kenya inapunguza mvuto wa uwekezaji kwenye ukanda huu.
I think it's because Imf and World bank write separate reports. I am sure according to the world bank Ethiopia is still ahead of us. So i guess it's up to you which org you choose to go with. I personally prefer the world bank but Imf is also okay.naona tumeipiku ethiopia tena😎😎
Norway has a higher gdp per capita wewe kengePer capita haina maana yoyote ndugu. Maana inatokana na gdp hiyo hiyo. Hayo ni mahesabu tu ya kuchukua GDP/Population. Tunapoongelea exclusivity maana yake uchumi unakuwa wa wote. Ukiangalia nchi kama Nigeria GDP haiwasaidii chochote maana players ya uchumi wao ni wachache tu wengine ni mashabiki tu. Vivyo hivyo kenya maskini wa kenya ni maskini wa kutupwa. Players wa uchumi ni wachache.
Nchi za ulaya uchumi wao ni jumuishi. Jaribu kulinganisha raia wa Norway na USA. Norway maisha yao yapo vizuri maana wamewekeza kwenye uchumi jumuishi. Lakini GDP ya USA ni kubwa. Ni hayo tu.
Ninapata shida sana kukuelewa. Sijui kwa nini unafikiria eti low salary yenu na low gdp per capita yenu ni bora kushinda high salary yetu na high gdp per capita yetu? Kila nchi inajaribu iwezavyo kuwa na high gdp per capita na wewe uko hapa ukisifia low gdp per capita. Hio ni kusifia umaskini na upuzi. Unastahili kukashifiwa kabisa for glorifying poverty. Hakuna nchi inastahili kuwa satisfied with having low gdp per capita. Africa nzima tunang'ang'ana kuongeza gdp per capita na wewe uko hapa kusifia umaskini wa low gdp per capita. Hata hio china unayotaja, saa hii labour cost imekuwa high sana, kampuni zimeanza kuenda Ethiopia, bangladesh na sri lanka. Hata Ethiopia labour cost itapanda tu in the next 20 years,hio ndio hali ya maisha. Hakuna serikali inataka watu wake waishi kwa umasikini, ndio maana serikali ya Ethiopia inaindustrialize. Wewe baki hapo ukisifia umaskini wa Tanzania.Nikisema wakenya hamsomi kilicho andikwa kabla ya kujibu huu hapa mfano mzuri.
Hebu jiulize swali dogo tuu, mwalimu Kenya na Ethiopia na Tanzania nani analimpwa mshahara zaidi? Kama jibu lako ni kenya, then umepata picha halisi. Production cost in kenya is cheap than South Africa, but Tanzania is even cheaper than Kenya. Lingansha GDP per capita ya hizi nchi uwone kama doesn't reflect cost of living. Kwanini China is cheaper to produce goods than US, linganisha GDP per capita ya China na US.
Why the World's Largest Economies Aren't the Richest
Hebu Kenya njooni mumrudishe shule huyu jamaa alikuwa ana cheza pale NU department of economics.
Ni uongo. Where is Egypt? Sudan?GDP (current prices)
Nigeria ($408.6 Billion)
South Africa ($370.3 Billion)
Algeria ($197.6 Billion)
Morocco ($120.9 Billion)
Angola ($119.4 Billion)
Kenya ($88.2 Billion)
Ethiopia ($85.6 Billion)
Tanzania ($56.6 Billion)
Ghana ($51.6 Billion)
Rwanda ($9.9 Billion)
GDP growth rates
Nigeria (2.1%)
South Africa (1.5%)
Algeria (3.0%)
Morocco (3.1%)
Angola (2.2%)
Kenya (5.5%)
Ethiopia (8.5%)
Tanzania (6.4%)
Ghana (6.3%)
Rwanda (7.2%)
GDP per capita
Nigeria ($2107)
South Africa ($6459)
Algeria ($4669)
Morocco ($3435)
Angola ($4114)
Kenya ($1837)
Ethiopia ($909)
Tanzania ($1110)
Ghana ($1779)
Rwanda ($819)
http://www.imf.org/external/datamapper/NGDPD@WEO/OEMDC/ADVEC/WEOWORLD?year=2018
Nchi Kama Nigeria Japo siishi lakini inanisikisha sana.. Mpaka najiuliza what's all that GDP for?
Kuna industries nyingine nazo hazitaki unskilled labour kama ya Tanzania bali zinataka semi-skilled na skilled kama za Kenya. For example most multinational service companies and I.T companies are setting up shop in Nairobi.Sasa unachokiseama hapa doesn't make kenya attractive to investors with high wages and high cost of leaving kulinganisha na Ethiopia na Tanzania? Linganisha na nilichosema mwanzo Kenya inapunguza mvuto wa uwekezaji kwenye ukanda huu.
Kenya ($88.2 Billion)Duh! Okay unajua maana ya GDP?
Okay hebu tuingelee per capita vipi hapo?
achana na per capita tuongelee PPP
okay hebu tuongelee growth rate ya uchumi vipi hapo?
Basi nakuomba tuongelee uchumi jumuishi. Vipi hapo?
Okay achana na hilo tuongelee inflation rate vipi hapo?
Ruongelee investment vipi hapo.
Basi taja mwenyewe kipi cha Rwanda kuikaribia TZ?
Hapa tunaongea mambo ya kisomi rafiki.
Mzee wa pushups atafanya Kazi SAA ngapi.Duh ukuaji wa kiuchumi wa Tanzania umeshuka sana ukilinganisha na enzi za Kikwete, yaani Magu atakua anakosea sehemu.
Mzee wa pushups atafanya Kazi SAA ngapi.
Egypt ni ya pili nyuma ya nigeria, alafu sudan wakadevalue pound yao kwa dolla ivo uchumi wao umeshuka kwa sasaNi uongo. Where is Egypt? Sudan?
GDP ya Tanzania haiwezi kuwa kubwa kuliko ya Egypt. Na kuna nchi nyingi nazozifaham ziko mbele ya Rwanda.
Au maybe that list isnt ranked?