2018 -Kenyan economy now larger than Tanzania and Uganda combined

2018 -Kenyan economy now larger than Tanzania and Uganda combined

Subiri waje, mipovuuu
Wanapenda sana dezo dezo na mdembwedo wakati sisi wengine tunapiga kazi, nchi inasonga kwa mwendo kasi.
Kwanza sasa tunaelekea kupata muafaka wa kisiasa ili kutuliza hizi siasa za kila siku ndio tukomae kikazi kwa kwenda mbele.
haha....ndio hao tayari washafika.lets see how they spin this one
 
Alafu mijitu ya Ldc inataka kujilinganisha na sisi, wabishi wa kenya ni kina africa kusini na Egypt😀😀😀😀😀 Mibongo aibu tupu.
Umeandika ki shabiki sanaaa!
Nadhan unatetea nchi yako!
Bongo itaendelea kuwa baba wa EAC!

Nyie endeleeni kulumbana+wadada zenu kugeuzwa wake ughaibuni!
Bongo tunatusua bila kwenda njee
 
I was pointing out the very small gap
That small gap have always been there since 2009,actually Tanzania ppp was projected to surpass that of kenya by 2015 but that din't happen and its not going to happen anytime soon despite Tanzania having a bigger population than kenya.
 
Umeandika ki shabiki sanaaa!
Nadhan unatetea nchi yako!
Bongo itaendelea kuwa baba wa EAC!

Nyie endeleeni kulumbana+wadada zenu kugeuzwa wake ughaibuni!
Bongo tunatusua bila kwenda njee
Bongo itaendelea kuwa kubwa kwa umaskini hapa eac.
 
Back
Top Bottom