2018 -Kenyan economy now larger than Tanzania and Uganda combined

2018 -Kenyan economy now larger than Tanzania and Uganda combined

%QUOTE="Barbarosa, post: 26286892, member: 284899"]Labda usichokifahamu ni kwamba mpaka miaka ya ‘90 Uchumi wa Kenya ulikuwa mkubwa mara 2 ya Uchumi wa Tanzania na leo hii pengo limepungua sana hivyo Kenya ndiyo iliyo stagnant na siyo TZ yetu kwani the gap is closing![/QUOTE]

Nitakukumbushia miaka yote kila ukiibuka na hizi kauli zako za uwongo, fahamu tofauti za kiuchumi baina ya Tanzania na Kenya inazidi kuongezeka, na imekua hivyo miaka yote.
Mwaka wa 1981 GDP ya Kenya ilikua 9.5b USD wakati huo ya Tanzania ikiwa 8.9b USD, tofauti kidogo sana, lakini leo hii tupo mbele yenu kwa tofauti kubwa inayozidi kuongezeka kila mwaka.
Nakupa siri....mjitume
 
Wakenya kelele nyingi lakini cha maana mnachosema hakuna, economy iliyojaa madeni ni kama kukalia tawi bovu. Hesabu yote iko hapo chini ndio maana mnaona Kenya with all cosmetic GDP lakini bado wanasaga lami kama Waafrika wengine. Waziri wa fedha Kenya amewaambia mkae tayari kwa kodi kupanda juu kuanzia July 2018 kutokana na masharti waliopewa na IMF. Meanwhile JPM jana anawaambia TRA wapunguze na kurekebisha kodi.

Kenya: $75bln GDP - 60% debt = $30bln

Tanzania: $51bln GDP - 39% debt = $31.11bln
Rudi shule uelewe basic mathematics. Pereka ujinga danganyika
 
Mkiambiwa ukweli majibu yanakwenda likizo, Bring facts not primitive statements. Debts will not magically disappear by ignoring them. Tafuta formula ya debt to GDP ratio ndio uje na majibu hapa.

If you had, you'd understand why I said you've not. Unfortunately you've not.
 
Jibu swali acha porojo are in debt up to your nose and is been hold against your GDP..... YES or NO?
Jibu hapa chini
CHART_Chart-of-the-Week_07-26-11.png
 
ngarika ni nini?...ni msamiati mpya?,andika kimgereza tutakuelewa,Kiswahili hamkiwezi
Typo tu mkuu, nilimaanisha garika inaandikwa pia gharika. Niliirekebisha zamani acha nyef nyef.
 
If you had, you'd understand why I said you've not. Unfortunately you've not.

here it is in black 'n' bold

Kenya: $75bln GDP - 60% debt = $30bln

Tanzania: $51bln GDP - 39% debt = $31.11bln

Ask IMF why they slam on breaks their previous approved emergency loan guarantee to Kenya, was anything to do with debt to GDP ratio?
 
Jibu hapa chini
CHART_Chart-of-the-Week_07-26-11.png

Haha, YES or NO answer imekuwa picha, anyway hapo ndio mwisho wa wewe kufikiri. By the way in your view your thinking all these countries are having the best time of their lives (with those debts). Think again, in fact think why China is the lowest on the list and yet is number 2 on world economy. Oh yeah, think why Trump is fighting to bring back jobs to US and curb borrowing. Why not think about Japanese debts with fear of Trump America first policy they're starting to sale their US bonds so that they don't default on their debts. Is this where Kenya is heading?
 
Bado kidogo Uganda watatupita.sisi Siasa na ukatili ndio saizi yetu.Uchumi tuwaachie wenye kuzipenda nchi zao.
Kwa hiyo mseveni ni mwema saaaaana na mpole mwenye kupenda nchi yake kuliko rais wetu? Bwege kabisa
 
the gape is closing so quickly, you add to your economy less than what we add to ours despite the fact that you have much broader base than us ie 78.4-74.7=3.7 bn vs 51.6-47=4.6 we close the gap by 1bn
 
Haha, YES or NO answer imekuwa picha, anyway hapo ndio mwisho wa wewe kufikiri. By the way in your view your thinking all these countries are having the best time of their lives (with those debts). Think again, in fact think why China is the lowest on the list and yet is number 2 on world economy. Oh yeah, think why Trump is fighting to bring back jobs to US and curb borrowing. Why not think about Japanese debts with fear of Trump America first policy they're starting to sale their US bonds so that they don't default on their debts. Is this where Kenya is heading?
Wahenga walisema a picture is worth a thousand words. Dig it sucker..
 
here it is in black 'n' bold

Kenya: $75bln GDP - 60% debt = $30bln

Tanzania: $51bln GDP - 39% debt = $31.11bln

Ask IMF why they slam on breaks their previous approved emergency loan guarantee to Kenya, was anything to do with debt to GDP ratio?
Are you one of our brothers who are uneducated in Maths huku Tanzania? Tanzania has more debt than kenya by your figures?
 
Back
Top Bottom