MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
%QUOTE="Barbarosa, post: 26286892, member: 284899"]Labda usichokifahamu ni kwamba mpaka miaka ya ‘90 Uchumi wa Kenya ulikuwa mkubwa mara 2 ya Uchumi wa Tanzania na leo hii pengo limepungua sana hivyo Kenya ndiyo iliyo stagnant na siyo TZ yetu kwani the gap is closing![/QUOTE]
Nitakukumbushia miaka yote kila ukiibuka na hizi kauli zako za uwongo, fahamu tofauti za kiuchumi baina ya Tanzania na Kenya inazidi kuongezeka, na imekua hivyo miaka yote.
Mwaka wa 1981 GDP ya Kenya ilikua 9.5b USD wakati huo ya Tanzania ikiwa 8.9b USD, tofauti kidogo sana, lakini leo hii tupo mbele yenu kwa tofauti kubwa inayozidi kuongezeka kila mwaka.
Nakupa siri....mjitume