Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzimu wa Ajax. Onana anamfuata Ziyach.Washapoteana hawa, wanarundikana lakini wanapitwa
Hiiiiiiiiiiiiiii hao wana gundu utashangaa watakavyotolewa kiajabu ajabu hata wakifika fainali anapigiwa hapohapoHatukugombana bwana. Sema tulipishana tu kila mmoja anachoamini. Mimi ni mtu ninaekubali kutokukubaliana. Sigombani na member yeyote jamani. Mimi nampa Senegal.
Kakosa goli la wazi aiseeMusa kweli kaflop sio wa kombe la dunia huyu
Mussa wa World cup 2018 si yule wa. AFCON 2019.Kakosa goli la wazi aisee
Natamani Cameroun wasawazishe.Nigerians wanashangilia poa sana aiseee
Nigeria kachana mkeka wanguNatamani Cameroun wasawazishe.
Kwenye kamari h2h huwa hazina maana kiongozi tunaangalia squad za timu zote mbili ipi ipo kwenye ubora wake.Huwezi ukabet ukampa Cameroon anapokutana na MNigeria.
AFCON wamekutana mara 22 Nijeria kashinda 11...Cameroon 4.
Anamsumbuage saana...Japo hii Nigeria ni nyepesi ila bado anamsumbua.
Kamroge Alex iwobiNatamani Cameroun wasawazishe.
Zinafanya kazi...Angalia H2H za timu zinazocheza AFCON....utagundua zinafanya kazi.Kwenye kamari h2h huwa hazina maana kiongozi tunaangalia squad za timu zote mbili ipi ipo kwenye ubora wake.
Wakamaria wengi wanaangukia pua kwa sababu kama hizo.
Mfano, anaangalia h2h za Dalian yifang vs Shanghai shenhua anaona Dalian kashinda game 16 kati ya 20 anasahau kuwa msimu huu Shanghai shenhua wana wachezaji wazuri zaidi kuliko opponents anaweka mzigo side mbovu matokeo yake anaanza kumuita muhindi mchawi
Imeshindakana,ndo washapita. Watatolewa na Egypt huko robo fainali.Kamroge Alex iwobi
Haki ya MUNGU dah aisee ni balaaAcheni tu nipende mabinti weupe, hawa mabinti wa farao ni wa moto sanaaaaa kwakweli
Best loser Euro 2016 alishinda ubingwa.Hawa best loser ni wakuogopwa wanakamia mno