Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Kila lenye kheri.20k timu 1 tayari kabaki Cameroon na Misri nipate 165000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila lenye kheri.20k timu 1 tayari kabaki Cameroon na Misri nipate 165000
Jamaa wamesawazisha. Leo ni leo.Cameroon wachezaji wao wana nguvu na wanazitumia
Mkeka wangu upo taabani....Bora wamesawazisha. Duh.
Wanacheka na kukodoa kwa zamuKanu kakodoa tu sasa hivi ni muda wa Etoo kucheka
Pole sana aisee. Football ni maajabu. Uliweka ngapi?Mkeka wangu upo taabani....
Yaani acha tu. Etoo kashika tama sasa hivi,Kanu anacheka tu.Wanacheka na kukodoa kwa zamu
Umeanza kuwageuka. Haya tuongee issue serious.Kwa unavyoona team ipi itabeba kombe la AFCON,Cameroun ndo hivyo wanaelekea kutemeshwa.Nilishajua mapemaa Cameroon hii mbovu mbovu haiwezi kutetea taji
Mimi naweka moyoni, siweki physically..Pole sana aisee. Football ni maajabu. Uliweka ngapi?
Mimi pia ningebet leo basi pesa yangu ingeliwa,ila nasikitika sana Cameroun kutolewa. Sioni wakisawazisha.Mimi naweka moyoni, siweki physically..
Wamekoswa sana hapa goli la 4Cameroon wanakabia macho hahahaha watapigwa la nne
Washapoteana hawa, wanarundikana lakini wanapitwaMimi pia ningebet leo basi pesa yangu ingeliwa,ila nasikitika sana Cameroun kutolewa. Sioni wakisawazisha.
Hawa niliwakataa kuanzia kule kwa Benin hadi tukagombana kama unakumbuka.Umeanza kuwageuka. Haya tuongee issue serious.Kwa unavyoona team ipi itabeba kombe la AFCON,Cameroun ndo hivyo wanaelekea kutemeshwa.
Hatukugombana bwana. Sema tulipishana tu kila mmoja anachoamini. Mimi ni mtu ninaekubali kutokukubaliana. Sigombani na member yeyote jamani. Mimi nampa Senegal.Hawa niliwakataa kuanzia kule kwa Benin hadi tukagombana kama unakumbuka.
Hili kombe anabeba Algeria au timu kutoka W.africa, sema kama ujuavyo AFCON zote alizoandaa Pharao amebeba 75%