2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Sisi tunasema "rien ne joue,rien ne decider"la tatu. Kazi ipo leo. Kanu meno yote nje. Sasa naelewa why Etoo hakushangilia mwanzoni. Onana njiani kumfuata Ziyach.
 
Nilishajua mapemaa Cameroon hii mbovu mbovu haiwezi kutetea taji
Umeanza kuwageuka. Haya tuongee issue serious.Kwa unavyoona team ipi itabeba kombe la AFCON,Cameroun ndo hivyo wanaelekea kutemeshwa.
 
Hawa niliwakataa kuanzia kule kwa Benin hadi tukagombana kama unakumbuka.

Hili kombe anabeba Algeria au timu kutoka W.africa, sema kama ujuavyo AFCON zote alizoandaa Pharao amebeba 75%
 
Hatukugombana bwana. Sema tulipishana tu kila mmoja anachoamini. Mimi ni mtu ninaekubali kutokukubaliana. Sigombani na member yeyote jamani. Mimi nampa Senegal.
 
Back
Top Bottom