2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Nasubiri Nigeria watoke
Wanatolewa tu
Nimetia mkeka kwa Cameroon, ngoja tuone kama utatiki
IMG_20190703_090213.jpg
 
Namuona Ahmed Musa hapa, ngoja tuone kama atafurukuta mbele ya hawa Indomitable Lions
Mpaka sasa mechi ni kama imemkataa, alafu na tatizo lao kubwa wanamiliki mpira alafu hawajui kumalizia
 
Back
Top Bottom