Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasubiri Nigeria watoke
Nimetia mkeka kwa Cameroon, ngoja tuone kama utatikiWanatolewa tu
Nigeria ni ball possessors linaweza lisitokee hilo.Nasubiri Nigeria watoke
Ngumu kumeza Cameroon ya safari hii mdebwedo mno.Nimetia mkeka kwa Cameroon, ngoja tuone kama utatikiView attachment 1148186
Namuona Ahmed Musa hapa, ngoja tuone kama atafurukuta mbele ya hawa Indomitable LionsNigeria ni ball possessors linaweza lisitokee hilo.
Mpaka sasa mechi ni kama imemkataa, alafu na tatizo lao kubwa wanamiliki mpira alafu hawajui kumaliziaNamuona Ahmed Musa hapa, ngoja tuone kama atafurukuta mbele ya hawa Indomitable Lions
NigeriaaaaaNgumu kumeza Cameroon ya safari hii mdebwedo mno.
Wachezaji waliotwaa ubingwa 2017 wamerudi kumi tu,
Naona wanaunyemelea mkeka wangu aiseeWayaaaaaaaa
Cameroon kuanzia mechi ya kwanza walionyesha mchezo mbovu, ila lazima wazinduke maana nao ni ball possessors wazuri ila siwapi nafasi sanaNaona wanaunyemelea mkeka wangu aisee
Mkeka unaelekea kuchanika.Nimetia mkeka kwa Cameroon, ngoja tuone kama utatikiView attachment 1148186
Tupo dakíka ya 33, ngoja tusubiri zifike 90 ndio tuone nani kidumeNipo hapa nashangaa shangaa tu. Cameroun wanapigwa huku naona. Football haina mwenyewe.
Kama jana moyo ulikuwa unaenda mbio sana kama BoltMkeka unaelekea kuchanika.