2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Hatukugombana bwana. Sema tulipishana tu kila mmoja anachoamini. Mimi ni mtu ninaekubali kutokukubaliana. Sigombani na member yeyote jamani. Mimi nampa Senegal.
Hiiiiiiiiiiiiiii hao wana gundu utashangaa watakavyotolewa kiajabu ajabu hata wakifika fainali anapigiwa hapohapo
 
Huwezi ukabet ukampa Cameroon anapokutana na MNigeria.

AFCON wamekutana mara 22 Nijeria kashinda 11...Cameroon 4.

Anamsumbuage saana...Japo hii Nigeria ni nyepesi ila bado anamsumbua.
 
Huwezi ukabet ukampa Cameroon anapokutana na MNigeria.

AFCON wamekutana mara 22 Nijeria kashinda 11...Cameroon 4.

Anamsumbuage saana...Japo hii Nigeria ni nyepesi ila bado anamsumbua.
Kwenye kamari h2h huwa hazina maana kiongozi tunaangalia squad za timu zote mbili ipi ipo kwenye ubora wake.

Wakamaria wengi wanaangukia pua kwa sababu kama hizo.
Mfano, anaangalia h2h za Dalian yifang vs Shanghai shenhua anaona Dalian kashinda game 16 kati ya 20 anasahau kuwa msimu huu Shanghai shenhua wana wachezaji wazuri zaidi kuliko opponents anaweka mzigo side mbovu matokeo yake anaanza kumuita muhindi mchawi
 
Zinafanya kazi...Angalia H2H za timu zinazocheza AFCON....utagundua zinafanya kazi.

Sisemi ni guarrantee ya matokeo ila ni kigezo kimojawapo....
 

Nigeria vs Cameroun 3-2 Extended Highlights & Goals - Africa Cup of Nations 2019
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…