2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Alafu wamisri ni wabaguzi kwenye mechi zao kigari kinakuwepo alafu mechi za wengine hawakileti shenzi zao
 
Kumbe unafata majina loh!
Nigeria wana mpira wa kuvutia ila hawafiki mbali

Natarajia Egypt kuaibishwa atoke quarter final wana mchezo mbaya.
Natarajia maajabu kutoka kwa Tunisia japo walionyesha mchezo mbovu Wabi kadhri kaflop sana

Senegal hawa wanagundu huenda wakatoka semi final.
Algeria hawa wanapigiwa sana upatu wanacheza soka la kuvutia mno ni wakutazamwa mara mbili mbili.

Nakushauri uwaangalie The ivorians hutojutia
Hahaha bahati mbaya wameaibishwa mapema nitafute matunguli tu nimeanza kuwa mchawi
 
Back
Top Bottom