SafariiiiiTayari mkuu 1-0
hawa best looser hawa !Na bado dk 2
Mimi walinikera wanavyobebana tu.Alafu wamisri ni wabaguzi kwenye mechi zao kigari kinakuwepo alafu mechi za wengine hawakileti shenzi zao
Tayari !Safariiiii
Huku kuzimu mambo ni swafibye bye mkeka,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Hahaha bahati mbaya wameaibishwa mapema nitafute matunguli tu nimeanza kuwa mchawiKumbe unafata majina loh!
Nigeria wana mpira wa kuvutia ila hawafiki mbali
Natarajia Egypt kuaibishwa atoke quarter final wana mchezo mbaya.
Natarajia maajabu kutoka kwa Tunisia japo walionyesha mchezo mbovu Wabi kadhri kaflop sana
Senegal hawa wanagundu huenda wakatoka semi final.
Algeria hawa wanapigiwa sana upatu wanacheza soka la kuvutia mno ni wakutazamwa mara mbili mbili.
Nakushauri uwaangalie The ivorians hutojutia
Vijana(wakiume lakini)Bafana bafana. Maana yake nini jamani. Every thing is possible in football. That's why I love football.
Kwanini usiseme South Africa ndio wazuri zaidi tu mkuu ?Hii ni EGYPT mbovu niliwahi kuishuhudia kuliko zote
Ahaaaa mkuu umenichekesha sana.. Huyo mzee wa kuchomekea (Mothiba) tulikua tunamjadili hapa kavaa mkanda au... Hadi mpira ulivyoisha bado kachomekea.Mzee wa kuchomekea katoa assist ya maana