2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Huenda umri nao ushamtupa, hajaitwa kwenye hichi kikosi..

Alitamba sana FIFA WC 2010 kwenye ardhi yao
Mchezaji wa kwanza kufunga goli la kwanza WC 2010 nyumbani S A

Tshabalalalaaaa........
 
Kwa kweli Pesa ndio kila kitu wasouth walipoingia tu kwenye zile best bora kila mchezaji kaingiziwa R370, 000 kwenye acc yake na wameahidiwa wakichukua kombe afcon timu it apewa 20ml, usishangae Leo kuwafunga Egypt
Hawakuambiwa hawana lishe?

Uzalendo hata leso ya kufuta jasho huna?
 
Khaaaaa, sasa hivi unasema unajisikia raha Egypt kufungwa....
Unajua kuna wakati unawaona watu wana nguvu ya kushinda,unaamini watashinda siyo kuwa unapenda washinde. Bali cinditions zinakuwa more favorable kwa wao kushinda.
 
Huwa napenda kubet upande ambao haupewi nafasi napoteza lakini yakipinduka napiga pesa ndefu kufidia kote kama hii ya south vs egypt
 
South Africa amepiga ball sijaona timu yoyote ya afcon ikicheza style ile ya kushambulia na kuzuia imenikumbusha Brazil ya kina romario .
Pamoja na ushindi wao,ile timu bado sana. Bahati imekuwa upande wao tu. Nawatakia heri zaid ktk bahat kuendelea kuwa kwao na moyo wa upiganaji uzidi ktk game inayokuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…