2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

🙌🙌🙌🙌 Je? Wawezaje kuwatumikia mabwana zaidi ya mmoja.

Wewe njoo kwetu Senegal, bwana mmoja tu atatupeleka mpaka fainali kwa fraha naamani mpaka kuchukuwa ndoo
Mechi ya tarehe 10/7 ndio itaamua kama mtatutoa basi nahamia huko best.
 
Back
Top Bottom