Tumbo Tumbo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 1,278
- 1,553
Mwenyeji kutolewa mbaya kabisaaa
Imeharibu radha na mashamsham halisi kwa wenyeji na mashindano
Bora huyu kwani kuna wenyeji wengine huwa wanatolewaga hatua ya makundi tu.
Hapa viwanja kujaa tena labda mechi ya Fainali.
Kabisa. Vp bado uko Senegal au ushabadili timu?Sisi Tz husema mapato yamepotea
Ila Mpira mda Mwingine Ni Mchezo wa Hovyo Sana, Kw Kiwango Cha Misiri Kutolewa na SA ni Ajabu Sana Ila Ndio Sayansi Ya Soka Wakuu
Kabisa. Vp bado uko Senegal au ushabadili timu?
Mpira sio majinaBora huyu kwani kuna wenyeji wengine huwa wanatolewaga hatua ya makundi tu.
Hapa viwanja kujaa tena labda mechi ya Fainali.
Akitolewa Benin ntahamia huko kwako Best. πππMimi huko huko Senegal
Ulisemaje kuhusu kuhama best ? πππ
Sawa Mkuu.Mpira sio majina
Mpira ni combination
Mpira ni science
Mpira ni mistakes
Mpira ni chances
Akitolewa Benin ntahamia huko kwako Best. πππ
Akitolewa Benin ntahamia huko kwako Best. πππ
Si ndo ubaguzi huu?! Yale yaleee ya Diatta.Haya maarabu ni ya kuondoa yote
Jana benini imeniondolea moja, s.afrika aondoe lingine .
Mi nilifurahia mechi ya Moroko tu. Maana nilikuwa team Benin.Naona waarabu wote ulim nje
Halafu nimeona tunakutana quarter final. Uwiiiiii.Karibu sisi tunajiandaa Kubeba ndoo πππ
Hapa naaandaa vazi laki Farao kushehelekea ππππ
Acha mipasho kama unaimba taarabu,usituletee racism kwenye michezo,dunia inakwenda mbele wewe unarudi nyuma!! u are just a racist,hilo ni kombe la Africa na Africa ni moja bila kujali skin colour wala dini.Hili kombe hakuna Mwarabu yeyote atakayenyanyua kwapa l
tupo hapa hapa tutaona
Karibu sisi tunajiandaa Kubeba ndoo πππ
Hapa naaandaa vazi laki Farao kushehelekea ππππ
Mechi ya tarehe 10/7 ndio itaamua kama mtatutoa basi nahamia huko best.ππππ Je? Wawezaje kuwatumikia mabwana zaidi ya mmoja.
Wewe njoo kwetu Senegal, bwana mmoja tu atatupeleka mpaka fainali kwa fraha naamani mpaka kuchukuwa ndoo
Kuna Ivory Coast, Algeria, Ghana na Tunisia nazo si haba best kama zitafuzu bado una safari ndefu kuchukua ndoo.