Teamanaconda
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 602
- 564
Wamesawazisha congo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madagascar anaongoza...
Tehteh...Mechi haitabiriki hii.
Madagascar ni motto. Wallah nimeamini sijui kukwalify mara ya kwanza hakuna mashiko.
Anakaza saana naye..... labda penati.Apigwe Congo ty
Wamewekeza. Wanatoa uraia kwa wachezaji wazuri. Kumbuka raisi wa CAF anatoka Madagascar
Hii kona imeleta mabadiliko ambayo hatukuyatarajia
Ngoja tuone hii nusu saa kama itatupeleka kwenye penalt
Watapambana tu hadi kielewekeDk 120 madagaska watachoka sana
Watapambana tu hadi kieleweke