Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Write your reply...
Duh Congo Nae Kachomoaa Ngoma Droo Sasaa
Duh Congo Nae Kachomoaa Ngoma Droo Sasaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo huku mambo yameanza...Baadae nitakuja kukote tena hii message yako.
Pia kuna fainali na Copa America usiku wa leoMimi nipo bize na fainali ya wanawake USA anamuadabisha muholanzi
Wamarekani wanacheza vizuri sana wamepata bao la piliPia kuna fainali na Copa America usiku wa leo
Nasikia wanaongoza kutwaa hilo KombeWamarekani wanacheza vizuri sana wamepata bao la pili
Bayanda nulu BasumbaBafana bafana. Maana yake nini jamani. Every thing is possible in football. That's why I love football.
Pole mkuu[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]View attachment 1148465
Yap ndio vinaraNasikia wanaongoza kutwaa hilo Kombe
Wabheja wa Ng'wise.Bayanda nulu Basumba
Wamewekeza. Wanatoa uraia kwa wachezaji wazuri. Kumbuka raisi wa CAF anatoka MadagascarTayari la pili,hawa Madagascar sijui huu uzoefu wameupata wapi?