Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangekutana na South africa wangetoa ulimi nje kama mbwaHata hivyo timu ya Ghana siyo nzuri sana.
Kweli. Hata Tunisia nao si kihivyo.Hata hivyo timu ya Ghana siyo nzuri sana.
Kuna mshale mmoja hujaumalizia ule wa mwisho kabsaMy new MkekaView attachment 1150704
MADAGASCAR atawachania sana mikeka mazee....My new MkekaView attachment 1150704
Chanel fanBenin anakoswa hapaa
Ngoja twende taratibu na huu kwanzaKuna mshale mmoja hujaumalizia ule wa mwisho kabsa
Lolote laweza kutokea mkuuMADAGASCAR atawachania sana mikeka mazee....
Kismati chao mwaka huu
Bafana Bafana... analipiga na Super Eagle.
Hii mechi sio rahisi....yangu macho na Lays pembeni.
Haha...Senegal timu laini....anakuwa mbabe akikutana na mnyonge mnyonge.Sisi wa Senegal hailali mpaka tunabeba ndoo.