2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Melo ka uplift ban yangu
Walinionea ! Hao mods wenu , kaniomba na msamaha [emoji28][emoji28]
Tumtafute huyo jamaa tesla am back , vipi ni mtata sana huyo jamaa ?
tehteh
mtata sana kakimbia na denti za watu
ukimpata mwambie arudishe denti zetu,,,
haiwezekani akimbie na denti zetu..............
 
Mwifwa maneno ya nabii yametimia
Ghana 4-5 Tunisia.

Huyo nabii watamkoma
Duuuuhhh, buriani mkeka wangu.
IMG_20190703_090213.jpg
 
Back
Top Bottom