The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Naona wameshapata walichokua wanatafuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshakuwa senior sasa, bado niwe mrogi tu muanze kukoma usikuHongera kwa utabiri.
Watu mbona tulishatabiri mapemaaaaMadagascar kakaza leo...mechi haitabiriki.
Maono yanetimiaNipo kiongozi
HakikaMaono yanetimia
Kombe ni la Senegal. Mane ni mtu mkali sana.Algeria apewe tu kombe lake jaman
Nisomee ubao hapo mkuuMali wanafanya kazi kuuuubwa wanafika golini wananyang'anyw'a kirahisi mno
Mechi imepoa saana.Mliokaribu na Chanel za live, endeleeni kunipa updates, nipo hapa na mkeka wanguView attachment 1149368
Matumaini yapo upande upi ukiangalia upepo unavyovuma hukoMechi imepoa saana.