2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Algeria imedhihirisha inabeba kombe goli la kwanza wamelikopi kutoka kwenye kitabu
 
Mali vs Ivory coast. Dk 32 still 0-0. Mali
Ivory Coast wasipokuwa makini kinawakuta kilichowakuta Misri na Cameroon
 
Mliokaribu na Chanel za live, endeleeni kunipa updates, nipo hapa na mkeka wangu
IMG_20190703_090213.jpg
 
Back
Top Bottom