2019 Africa Cup of Nations Special Thread

HT: 0-0 Senegal wametawala mchezo lakini wameshindwa kupata goal. Benin wamedefend vizuri na kwa nidhamu ya juu. Wanaonekana wazuri wanapoenda kushambulia, japo wakifika kwenye 18 wanakuwa na kigugumizi.

Tunasubiri second half tuone.
 
Sisi wa Senegal hailali mpaka tunabeba ndoo.
Haha...Senegal timu laini....anakuwa mbabe akikutana na mnyonge mnyonge.

Unafikiri anauweza muziki ule wa South Afrika aliompelekea mmisri!

Nigeria ni timu isiyotabirika....huwezi tabiri uchezaji wake...kila mechi wanabadilika.

Kipindi wanacheza na Madagascar walikuwa weak saana....walipokuja kucheza na Cameroon wakakaza.

Leo sijui watachezaje.

Nitachagua upande baada ya 10 minutes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…