Hahahahahahahahah Noma sana huyu jamaa hahahahahahahahah jezi huwa haichomoki Lebo Mothiba na style yake ya kushangilia goli dahWapi Mothiba mzee wa kuchomekea.
Hehehe [emoji28]My new MkekaView attachment 1150704
Nmefurahi sana hawa kutolewa yaaniKwisha habari yao SOUTH AFRICA
South Africa wamecheza vizuri....pale mbele walikosa ubunifu...ila upande wa defence na midfield wako vizuri...Niltamani wafuzu ili tupate mwakilishi upande wa SADCNmefurahi sana hawa kutolewa yaani
Wao kuitoa egypt , kiliniuma !
Hongera Simba wa Teranga na Super EaglesMy new MkekaView attachment 1150704
Daaaahhh, ana nidhamu ila leo kalamba kadi ya njano...Wapi Mothiba mzee wa kuchomekea.
Ngoma imetiki kwa leo, ngoja nisubiri tena kesho..Hehehe [emoji28]
Bado haujachanika tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]safi sana Var,,kidogo mkeka uchanike
Daaah! Yaani best tumejitahidi kuzuia mwisho wa siku ikashindikana aiseee.
Hongereni. ππππ
Ngoma imetiki kwa leo, ngoja nisubiri tena kesho..
Hahahaaa. Iweke best mpaka mtwae ndoo. πππAhadi imesimama/ipo palepale sasa inafikaje niwewe tu
Hahahaaa. Iweke best mpaka mtwae ndoo. πππ
Hahahaaa. Iweke best mpaka mtwae ndoo. πππ