2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Nahofia tembo was teranga kutolewa na kadi nyekundu hapakosekani. Timu zote mbili wanafujo za kipuuzi sana
 
Ivory coast wanafujo sana na kubebwa juu, Wanawafanya Algeria waonekane sio maginiaz wa mpira. Penalt ya wazi kabisa wamenyimwa Algeria.

Mkuu you're not fair

Hawa watu wote wahovyo

Kama umefatilia Senegal alipata chamtemakuni kutoka Algeria kwa Fujo

Na Ivory coast kaendeleza ubabe nafujo vilevile alikopita

Hapo wamekutana yetu macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…