Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubao unasomekaje huko?YOUSSEF MSAKNI + TAHA KHENISSI + WAHBI KHAZRI hawa watu hatari sana Madagascar wako hoi hahahahahahahahah
Madagascar wameshakufa 2 - 0Ubao unasomekaje huko?
Kafungwa na nani?Madagascar wameshakufa 2 - 0
TunisiaKafungwa na nani?
Mkeka wangu utabaki kuwa juuu, juuu kileleni, juuu mawinguniBandani nilikuwa mshabiki wa Algeria peke yangu, hatimae ngoma ikatiki..
Tunisia msiniangushe, nisomeeni ubao.View attachment 1151594
YOUSSEF MSAKNI + TAHA KHENISSI + WAHBI KHAZRI hawa watu hatari sana Madagascar wako hoi hahahahahahahahah
Soka la Africa lilikua miaka ya nyuma huko, tena mtu unahamasika kwenda kuangalia kutokana na umahiri wa wachezaji waliokuwa wanacheza kipindi hicho. Ila kwa sasa mastaa wa Africa hakuna kabisa, ndio maana hata mashindano yamekosa msisimko
Madagascar wameshakufa 2 - 0
Yani wametepeta ile mbaya, halafu walipewa ODS nyingi 🤣🤣🤣 hawakujuwa wanakutana na walimu wao!
Na kweli best safari naiona.
Na kweli best safari naiona.
Kwanini yamekosa msisimko mkuu, kwani Algeria, Tunisia, South Africa, Morocco na Senegal hazina mastaa? Misri pia ina mastaa sema bahati haikuwa kwao tu.
Nilisikitika Morocco kutolewa da soccer inamaajabu yake
Na kweli best safari naiona.
ni nouma..top four yangu ilikuwa nigeria algeria senegal na morocco kweli sòccer halina adabu[emoji23][emoji23]