2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Ningeumia sana kama Algeria wangetoka maana mpaka mashindano yameanza hawajafungwa.na hiyo pekee inathibitisha juhudi walizonazo hawa makomandoo,,hakika wamekuwa washindani si washiriki.


Hope hamtaniangusha mpaka final babake,,,
 
Soka la Africa lilikua miaka ya nyuma huko, tena mtu unahamasika kwenda kuangalia kutokana na umahiri wa wachezaji waliokuwa wanacheza kipindi hicho. Ila kwa sasa mastaa wa Africa hakuna kabisa, ndio maana hata mashindano yamekosa msisimko

Kwanini yamekosa msisimko mkuu, kwani Algeria, Tunisia, South Africa, Morocco na Senegal hazina mastaa? Misri pia ina mastaa sema bahati haikuwa kwao tu.
 
Back
Top Bottom