Bonny hiyo minywele kama chizi.
Nan kashinda3 -4
Nan kashinda
Bandani nilikuwa mshabiki wa Algeria peke yangu, hatimae ngoma ikatiki..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji106]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Write your reply...
mkeka wangu leo nimewaua waarabu wote wawili!
tusibishane sana anayebisha anyooshe kidole juu
Angalia profile yakeWaache dharau, hiyo Stars imshinde nani..!! Wameona Yanga imepiga hela nao wameanza kuombaomba, zetu mechi 3 tu.... ratiba inaisha.