2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Soka la Africa lilikua miaka ya nyuma huko, tena mtu unahamasika kwenda kuangalia kutokana na umahiri wa wachezaji waliokuwa wanacheza kipindi hicho. Ila kwa sasa mastaa wa Africa hakuna kabisa, ndio maana hata mashindano yamekosa msisimko
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji106]
Bandani nilikuwa mshabiki wa Algeria peke yangu, hatimae ngoma ikatiki..

Tunisia msiniangushe, nisomeeni ubao.
IMG_20190709_092223.jpg
 
Back
Top Bottom