Duh aiseeMimi SITAISHABIKIA TAIFA STARS, napenda na natamani ISIPATE HATA POINT MOJA
Ndo maana man U wazito piaHahahaha, Lukaku ni mkongo pia
Duh aisee
Mimi SITAISHABIKIA TAIFA STARS, napenda na natamani ISIPATE HATA POINT MOJA
Laana ya MakamboNaona timu ya yanga inachezea TU mjengo huko misri [emoji708][emoji708][emoji708]
Tena mapema sanaTuko pamoja msenegali mwenzangu, kesho Mungu akipenda tunaua kibaka mapema sana.
hatuwezi kukosa hata point 1 sheikh. Tumejipanga mungu yupo nasi
Kwa siku..hivi hiyo $ 300 ni kwa siku? Au ni kwa kipindi chote watakachokua huko kwenye mashimdano
Mbilivipi uko uganda bado anaongoza moja nilikuwa napiga moja moto
Sawa tunaweza fungwa ila ficha upumbav wako...japo kwa huu mweziMungu hawezi kuacha kazi zake awe na nyie Taifa Stars.
Awa Congo sijui kawaleta nani niwazito sana.ila ata ivyo uganda ni habar nyingine.Mbili
Congo wazito sana sijui nini.Awa Congo sijui kawaleta nani niwazito sana.ila ata ivyo uganda ni habar nyingine.
Wenzetu awachanganyi mpira na politics.Huyu Miya ni balaa kabisa.Anachezea team gani ya kulipwa.Kaddu nae lille goal la kichwa ni hatari.Uganda wanaupiga mwingi jamani.Half time sasa Majirani tunaoshare nao lake Nyanza wanaongoza kwa bao moja.
Afu ni mkongwe ata hachujiCongo wazito sana sijui nini.
Ila GK wa UG, Onyango anatisha