Mpira kaucheza na mkono refa hana shida wala.Ila huyu refa
Tatizo
Ilikuwa penalt ya halali kabisa aliucheza mpira kwa mkono tena kwa kuukinga.Upuuzi hauzai matunda
Dangote kaahidi $ 50,000 kwa kila goli Nigeria watakalofunga na billionea mwingine Femi Otedola ameahidi $ 25,000 kwa kila goli litakalo fungwa na Nigeria!Kaahidi ngapi?
Na mi naahidi dola mbili kwa kila goliDangote kaahidi $ 50,000 kwa kila goli Nigeria watakalofunga na billionea mwingine Femi Otedola ameahidi $ 25,000 kwa kila goli litakalo fungwa na Nigeria!
Ungeahidi wakati Taifa Stars wanacheza mechi za makundi.Na mi naahidi dola mbili kwa kila goli
Tunaoumia ni sisi wabetiji
Yuuck senegal
Hahahaha baba swalehe,ita wandishi wa habari [emoji23][emoji23]Na mi naahidi dola mbili kwa kila goli
🤣🤣🤣🤣🤣🤣👍👍Na mi naahidi dola mbili kwa kila goli
Nipo bandani hapa, wanatumia SupersportWadau mechi mnaangalia chanel gani..?
Nishampiga. Nilibet ht U 0.5. Yaani mpaka half tym kusiwe na goal. Odds zilikuwa 2.8Mchezo ni mtam kama hujabeti kama mm.