Ivi hawa marefa wa pembeni hawawezi kumuambia makosa kama hayo aliyoyapotezea?
Au wao wanaangalia offside tu?
Ukiangalia waafrika wangapi tunapewa nafasi kuendesha/kureferee world cup majibu yanapatika haps
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivi hawa marefa wa pembeni hawawezi kumuambia makosa kama hayo aliyoyapotezea?
Au wao wanaangalia offside tu?
Anaweza kui cost team, afanye sub amweke hata yule baldeNiang leo goli halion kabisa
Leo kafumba macho kadi hatoiHuyo ndio referee
Wadau mechi mnaangalia chanel gani..?Ok, ipi mechi inatangulia?
Leo kafumba macho kadi hatoi
Acha acha kabisa mkuuReferee mpumbavu unategea wamwite world huyu
Mwaarabu anapata penalt.