Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi niko senegalMechi imepoa.
Naona mabeki ya Tunisia yanamlia timing Niang.
Weka tu mkuu, kila mtu anahitaji kula(Wewe na Muhindi)Teh ....
Naweka 100k nikiliwa mkuu ! [emoji28]
Tunisia na Algeria.Mi niko senegal
Uko api daby
Ni refa mzuri mwenyewe nimemwelewa saana.Haka karefa naona kameaminiwa, kalichezesha robo fainali juzi kati Algeria na ivory Coast
Ni refa mzuri mwenyewe nimemwelewa saana.
Teh ....Weka tu mkuu, kila mtu anahitaji kula(Wewe na Muhindi)
[emoji28]Tunisia na Algeria.
Jamaa kakichwa kake kananifurahisha !Haka karefa naona kameaminiwa, kalichezesha robo fainali juzi kati Algeria na ivory Coast
Anaenda na mpira kabisa.Mi nimemwelewa jinsi anavyokimbia
Hahaha...kwasababu ya hiyo ya mwisho aliyoikaushia?Hakuna refa mpuuzi kama huyu
Hata mimi nimemuelewa, uchangamfu wake unajenga urafiki mzuri na wachezaji.Ni refa mzuri mwenyewe nimemwelewa saana.
Hiyo motion tangu juzi imenifurahisha..Mi nimemwelewa jinsi anavyokimbia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa kakichwa kake kananifurahisha !