Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Usifanye hivyo bana....tunaishi kwa kutegemeanaTeh ....
Aah ngoja niahiriahe huu mkeka !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usifanye hivyo bana....tunaishi kwa kutegemeanaTeh ....
Aah ngoja niahiriahe huu mkeka !
Kwa nini mkuu?Hakuna refa mpuuzi kama huyu
Hahaha...kwasababu ya hiyo ya mwisho aliyoikaushia?
Tunisia na Algeria.
Leo anaonekana kuwa makini zaidi kqenye upande wa kadi. Juzi aligawa kadi kama maua first half.Hiyo motion tangu juzi imenifurahisha..
Kosa gani amefanya mpaka hapa?Amefanya makosa Mengi zaidi ya kumi
Kwa nini mkuu?
Kweli mkuuLeo anaonekana kuwa makini zaidi kqenye upande wa kadi. Juzi aligawa kadi kama maua first half.
Ila yupo makini sana, anafuata hatua hadi hatua, mpaka unaogopa kuiba rafu mana yupo bihinde yako.
Kosa gani amefanya mpaka hapa?
Hii yamwisho jamaa ameonekana kudanganya kabsa, unamgonga mtu unaruka juu kama mruka kamba.Hahaha...kwasababu ya hiyo ya mwisho aliyoikaushia?
Kwanza ni raia wa nchi gani huyu refa?
Hapana, Naangalia mkuu.Unatazama mpira?
Ethiopia.Kwanza ni raia wa nchi gani huyu refa?
Wamemuamini kwa namna anavyohimili safar uwanjani na kudespline mpira usiharibike kwa chuki za wachezaji.Ethiopian
Ivi hawa marefa wa pembeni hawawezi kumuambia makosa kama hayo aliyoyapotezea?Anaruhusu mpira wa kihuni. Kupigana matakoni, kuumizana, kifupi anaruhusu rafu za kipumbavu kuvuruga mchezo
Niang leo goli halion kabisaNiang leo hakuna anachocheza
Binafsi niliona hivyo...halfu pia uamuzi hauangalii makosa tu na muda wenyewe...muda ulikuwa mbaya saana.Hii yamwisho jamaa ameonekana kudanganya kabsa, unamgonga mtu unaruka juu kama mruka kamba.