Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Ndio maana ikaitwa bahati nasibu...Kwa mara hii umepoteza mkuu
Kabisaa
Senegal anabeba ndoo
Nawashukuru sana Senegal
mbona hujamalizia bingwa nan?Hawajui kubet haoView attachment 1153801
1. Algeriambona hujamalizia bingwa nan?
Lete habariMorocco
Mods wanilime lifeban kama morocco asipobeba afcon
Marefa wakiswahili pumbavu sana
Ulishikwa kooni Best maana hadi umetema cheche kiasi hiki. πππHakuna refa mpuuzi kama huyu
Nimeona aisee Best. Ila ikawaje jana mmebadilisha mpiga penalti na bado mkasosa.
Game ya makundi na Algeria matokeo yalikuwaje kwani best? πππ Au ndio mtalipiza kisasi.Mkuu umekosea sana
Senegal anapita mpaka ndoo anabeba
Game ya makundi na Algeria matokeo yalikuwaje kwani best? πππ Au ndio mtalipiza kisasi.
Aiseee! Inabidi niwe Senegal mechi ya fainali sina jinsi best. π
Eti eeeee.Siku ile referee alituuwa, goli alizikataa na penalty akatutosa
All the best. Japo kuna mlima mrefu wa kupanda.This time it will be different best πͺπͺπͺ
Exactly. Haitakuwa mechi ya kitoto, kikubwa refa awe wa kueleweka.It will be exciting best
Nimeona aisee Best. Ila ikawaje jana mmebadilisha mpiga penalti na bado mkasosa.
Hongereni kwa kufika final. ππππ
Exactly. Haitakuwa mechi ya kitoto, kikubwa refa awe wa kueleweka.