Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Na hilo ndio jambo kubwa la msingi
Mechi itaamuliwa kwa umakini au ubovu wa referee
Good referee....tutampata champion halisi
Poor refereeing....rutampata champion fake
Of all Senegal will emerge the champion
Lakini tukubali tu mkuu weusi tumebebwa sana haya mashindano π. Na isitoshe marefarii weupe hawakuchezesha.
Fainali itakuwa ya upande mmoja Senegal hawataleta upinzani kabisa ukizingatia na Kulibaly atakosa hiyo gemu watapigwa si chini ya chuma 2,ivory cost na Nigeria walikuwa bora kuliko Senegal bahati mbaya kwao wakikutana na Algeria wanayo njaa na wanaupiga mwingii
Tunaombea Algeria wabebe ndoo. Maanna wamepitia wakati mgumu sana kucheza na timu za kubebwabebwa. Yani ningelikuwa raisi wa CAF nawapa tu Algeria ππ
Nani kabebwa mkuu kwa vigezo gani
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Utaumia sana fainali
Senegal, nigeria n.k. pamoja na yote Algeria katoboa mammae ππππ
View attachment 1154256View attachment 1154257View attachment 1154258View attachment 1154259View attachment 1154260
Hii sio miili ya kawaida, ukijipeleka unatafuta kifo.
Ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi
Kweli kabisa, lkn si umeona uwezo wao? Mpaka mjerumani alitokwa kamasi na ubabe wao!!π€£π€£π€£
Fainali itakuwa ya upande mmoja Senegal hawataleta upinzani kabisa ukizingatia na Kulibaly atakosa hiyo gemu watapigwa si chini ya chuma 2,ivory cost na Nigeria walikuwa bora kuliko Senegal bahati mbaya kwao wakikutana na Algeria wanayo njaa na wanaupiga mwingii
Wanakupiga goli mida migumu hata muda wa kijiuliza hupatiKudadadadeki hawa ALGERIA ni washenzi
Mnapiga nani haukuona Senegal mechi ya makundi alivyopitia tanuru la moto mateso kama yote akakaa nyuma bado akafa ,Awepo asiwepi sisi 2napiga tu πππ
Mnapiga nani haukuona Senegal mechi ya makundi alivyopitia tanuru la moto mateso kama yote akakaa nyuma bado akafa ,
Safari hii anapigwa mwanzo mwisho
Hongereni Nigeria kwa ushindi wa nafasi ya 3, Hongereni pia kwa kushinda nafasi ya 3 mara 8.1. Algeria
2. Senegal
3. Nigeria
4. Tunisia.
Kazi kwako kuweka odds
Hadi hapa napenda kuchukua fursa ya kujipongeza mwenyewe kwa mkeka huu ulivyotiki barabara.
Mkeka wa lala salama utakuwa namna hii.
1. Bingwa AFCON 2019 - Algeria (Timu iliyofungwa magoli 2 hadi sasa ndani ya dk 90)
2. Mshindi wa Pili - Senegal
3. Mshindi wa Tatu - Nigeria
4. Mshindi wa Nne - Tunisia.
View attachment 1153845
Mkuu mkeka ushatiki kwenye nafasi ya 3, tusubiri kesho tumalizie kazi.Kwa mara hii umepoteza mkuu
Kabisaa
Senegal anabeba ndoo