2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Na hilo ndio jambo kubwa la msingi
Mechi itaamuliwa kwa umakini au ubovu wa referee

Good referee....tutampata champion halisi

Poor refereeing....rutampata champion fake

Of all Senegal will emerge the champion

Lakini tukubali tu mkuu weusi tumebebwa sana haya mashindano 😀. Na isitoshe marefarii weupe hawakuchezesha.
 
Fainali itakuwa ya upande mmoja Senegal hawataleta upinzani kabisa ukizingatia na Kulibaly atakosa hiyo gemu watapigwa si chini ya chuma 2,ivory cost na Nigeria walikuwa bora kuliko Senegal bahati mbaya kwao wakikutana na Algeria wanayo njaa na wanaupiga mwingii

Tunaombea Algeria wabebe ndoo. Maanna wamepitia wakati mgumu sana kucheza na timu za kubebwabebwa. Yani ningelikuwa raisi wa CAF nawapa tu Algeria 😎😎
 
Screenshot_20190715-131243_Google.jpg
Screenshot_20190715-131201_Google.jpg
Screenshot_20190715-130854_Google.jpg
Screenshot_20190715-125851_Google.jpg
Screenshot_20190715-125636_Google.jpg

Hii sio miili ya kawaida, ukijipeleka unatafuta kifo.
 
Fainali itakuwa ya upande mmoja Senegal hawataleta upinzani kabisa ukizingatia na Kulibaly atakosa hiyo gemu watapigwa si chini ya chuma 2,ivory cost na Nigeria walikuwa bora kuliko Senegal bahati mbaya kwao wakikutana na Algeria wanayo njaa na wanaupiga mwingii

Awepo asiwepi sisi 2napiga tu 😁😁😁
 
Hadi hapa napenda kuchukua fursa ya kujipongeza mwenyewe kwa mkeka huu ulivyotiki barabara.

Mkeka wa lala salama utakuwa namna hii.

1. Bingwa AFCON 2019 - Algeria (Timu iliyofungwa magoli 2 hadi sasa ndani ya dk 90)
2. Mshindi wa Pili - Senegal
3. Mshindi wa Tatu - Nigeria
4. Mshindi wa Nne - Tunisia.

View attachment 1153845
Kwa mara hii umepoteza mkuu

Kabisaa

Senegal anabeba ndoo
Mkuu mkeka ushatiki kwenye nafasi ya 3, tusubiri kesho tumalizie kazi.
 
Back
Top Bottom