HahahhahaPumbavu VAR
Pumbavu VAR
Algeria.Mwifwa unampa nani leo na kwa goli ngapi
LiverpoolSenegal ina mashabiki wengi sana hapa bandani, ivi Algeria ndio haipendwi au Uarabu ndio kikwazo..
huko kwenu afrika wanasemaje na nini kinaendelea?Senegal ina mashabiki wengi sana hapa bandani, ivi Algeria ndio haipendwi au Uarabu ndio kikwazo..
Ndoo sasa ishaenda Jangwani mkuuhuko kwenu afrika wanasemaje na nini kinaendelea?
naskia hizo ndio huwa kauli zao wanazozitoa ukiwa huko kwao halafu wakajua wewe ni mtu unayetoka kusini mwa jangwa la sahara. watu kama hawa unaanzaje kuwasapoti?
Algeria π©πΏ oyeeeeee.
Bora hizi takataka zimemaliza michuano yao tusubiri burudani sasa EPL imefika.