2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Senegal ina mashabiki wengi sana hapa bandani, ivi Algeria ndio haipendwi au Uarabu ndio kikwazo..
huko kwenu afrika wanasemaje na nini kinaendelea?

naskia hizo ndio huwa kauli zao wanazozitoa ukiwa huko kwao halafu wakajua wewe ni mtu unayetoka kusini mwa jangwa la sahara. watu kama hawa unaanzaje kuwasapoti?
 
senegalese are so dominant in every angle but misplacement of passes in the final third and awaful long balls cost them a lot.
 
Back
Top Bottom