2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Kama kweli walitoa ahadi wanapaswa kulipwa...huenda wanashaka kuwa watatolewa mapema hivyo kuipata hiyo ahadi itakuwa issue
Kwanini sasa wawadanganye? Ile ni kazi kama kazi nyingine, unapoleta uongo usio kichwa wala miguu una wademoralize wachezaji hata wakiamua kukaa kimya.
 
Mechi gani inayofuata na wanacheza saa ngapi?
 
Naona Mpira kati ya Burundi na Nigeria haujachangamka kama Wa Uganda na congo
 
Haina haja ya kujitangazatangaza kipuuzi hivyo...umeshasema huishabikii sawa tumekuelewa...sasa unapoanza kusema unaichukia ilikufanyeje kwan..au ilikuchukulia mkeo..wacha kiherehere..

Aliekutuma uniquote ni nani?? Ungepita kimya kimya kama imekuuma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…