Umejisema mwenyewe! Yaani buku tu!!Nimechangia 1000 tu. Sema lingine. Ubinsfsi in dhambi kubwa kuliko zooote.
Madagascar wanamtukuza Ahmad Ahmad kuwa kawaletea neema kaingia madarakani tu CAF na nchi yake inaenda AFCON.
Wakati kiuhalisia ni afadhali hata ya timu ya Bongo, sasa amekutana na watu wanaopiga chenga hadi golikipa ndio wafunge.
Guinea wamefunga goli la dharau sana, ingekuwa ni mimi na kisirani changu ngumi zishawaka
Ndiyo buku, siko peke yangu tukiunganisha buku nyingi inakuwa si buku tena, kuliko kuolewa kama mfanyavyo, ona sasa Mme wenu anataja kuwapa talaka.Umejisema mwenyewe! Yaani buku tu!!
Siasa gani niliyoleta? Kuna mahala nimesema Madagascar amefungwa nimezungumzia Goli la kwanza tu ambalo ni la fedheha na nilihisi wangefungwaFT 2:2
Punguza siasa Bw Ahmed Ahmadπ
Nina akili kuliko hata baba yako na mama yako mzazi kwa pamoja, by the way what is bi hindu!?Umbumbumbu unakusumbua wee Bi Hindu
Acha ubinafsi, toa hela!!Ndiyo buku, siko peke yangu tukiunganisha buku nyingi inakuwa si buku tena, kuliko kuolewa kama mfanyavyo, ona sasa Mme wenu anataja kuwapa talaka.
Mie gundu nimeliona baada eti spika Ndugai kusikia eti naye kaenda kama kiongozi wa msafara wa wabunge.siyo kwamba natania.... senegal 6-0 taifa staccmrs.
Kila nikitaka kuishangilia taifa stars dhidi ya Senegal ,naisikia sauti ikinambia, usimjaribu bwana mungu wako
Ndio ujinga wenyewe huo, tunawapa nafasi watu kama Bashite wajisemee ahadi za hovyo hovyo hatimae hazitimizwi na wachezaji wanagundua kuwa wanatumika kwenye kiki za kisiasaSisi Tanzania. Wangewalipa million kumi kumi zao walizowaahidi watawapa endapo watafanikiwa kukwalifai.
Mkuu mambo unayoyafanya kwenye uzi huu unaidhalilisha hiyo avatar yako vibaya mnoAcha ubinafsi, toa hela!!
Username yako ina uhusiano na ushamba?Mkuu mambo unayoyafanya kwenye uzi huu unaidhalilisha hiyo avatar yako vibaya mno
Kila nikitaka kuishangilia taifa stars dhidi ya Senegal ,naisikia sauti ikinambia, usimjaribu bwana mungu wako