Mwantika
Huwezi kuzungumzia suala la pumzi kwa wachezaji wa timu ya taifa ambao wanacheza TPL karibu kila mechi!Timu inasikitisha. Tunakimbiza vivuli, haiwezi kupiga pasi zaidi ya moja, hatuna nguvu wala pumzi. Kipa ndiye kidogo ameweza kufanya kazi yake, ameokoa magoli kama 3 so far. Saido Mane angekuwepo timu CCM ingekuwa imeshapigwa magoli ya idadi za vidole. Amunike atakuwa anaicheka Tanzania....
Unamrudisha ajibu na mkude unamuacha Feisal ambaye ni amateur kabisaUjirani mwema ulitusaidia tu
Ameshakalia kidude[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu mnavyoombea Star ifungwe.
Duuh!
Ukisikia magazeti yanavyompamba Fei Toto unaweza kusema ni Idrissa Gueye wa Senegal. Kumbe ni mchezaji wa kung'ara mechi na Mbao. Utumbo mtupu.Fei toto na David mwantika mpaka sasa hawana hadhi ya kuchezea timu ya chama cha mapinduzi
Ni shida tupu mkuu. Hapo anaweza akaingia Ally Mtoni SonsoLinatumia nguvu siyo akili
Mungu ibariki taifa stars ifungwe angalau goli tatu.SENEGAL SQUAD
Goalkeepers:
-Abdoulaye Diallo (Rennes, France)
-Alfred Gomis (Spal, Italy)
-Edouard Mendy (Reims, France)
Defenders:
-Kalidou Koulibaly (Napoli, Italy)
-Moussa Wague (FC Barcelona, Spain)
-Pape Abdou Cisse (Olympiacos, Greece)
-Salif Sane (Schalke,Germany)
-Youssouf Sabaly (Bordeaux,France)
-Lamine Gassama (Goztepe, Turkey)
-Saliou Ciss (Valenciennes, France)
-Cheikhou Kouyate (Crystal Palace, England)
Midfielders:
-Alfred Ndiaye (Malaga, Spain)
- Santy Ngom (Nancy, France)
- Idrissa Gana Gueye (Everton, England)
-Keprin Diatta (Club Brugge, Belgium)
-Pape Alioune Ndiaye (Galatasaray, Turkey)
-Sidy Sarr (Lorient, France)
-Henri Saivet (Bursaspor, Turkey)
Forwards:
-Ismaila Sarr (Rennes, France)
-Keita Balde (Inter Milan, Italy)
- Mbye Niang (Rennes, France)
-Moussa Konate (Amiens, France)
-Mbaye Diagne (Galatasaray, Turkey)
- Sada Thioub (Nimes, France)
-Sadio Mane (Liverpool, England)
Mungu ibarik taifa stars .......[emoji24][emoji2807]
Pumzi sidhani kama inahitaji kucheza ulaya au south Amerika. Ni mazoezi ya aina mbali mbali yanayojenga. Sisi tukiambiwa tukimbie, tuingie gym, tuogelee, tupractise for 4 hrs kila siku utasikia ooh hivyo vitu havihusiani na soka. Soka sio kukimbia kama wanariadha, sio kuogelea, sio kunyanyua vyuma. unadhani misuli ya mapafu itajenga vipi?Huwezi kuzungumzia suala la pumzi kwa wachezaji wa timu ya taifa ambao wanacheza TPL karibu kila mechi!
Tatizo ni mbinu na aina ya wachezaji tulionao, Striking ya Senegal inaundwa na professional players, kwenye idara ya midfield ndo balaa.
Brother bila ya kuwa na pumzi ya kutosha huwezi kucheza mpira!Pumzi sidhani kama inahitaji kucheza ulaya au south Amerika. Ni mazoezi ya aina mbali mbali yanayojenga. Sisi tukiambiwa tukimbie, tuingie gym, tuogelee, tupractise for 4 hrs kila siku utasikia ooh hivyo vitu havihusiani na soka. Soka sio kukimbia kama wanariadha, sio kuogelea, sio kunyanyua vyuma. unadhani misuli ya mapafu itajenga vipi?
Sisi tuna kila sababu ya kudhalilishwa tu tukianza makelele Unadhani tuna team ya maana huyo mtoto Kuna Watu walituambia anaweza kucheza BarcelonaUkisikia magazeti yanavyompamba Fei Toto unaweza kusema ni Idrissa Gueye wa Senegal. Kumbe ni mchezaji wa kung'ara mechi na Mbao. Utumbo mtupu.