2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Hah et ya ccm!!!

Ila ccm haipendwi
Wala sio kwa sababu haipendwi, manake pamoja na kutopendwa huko, haya yasingekuwa yanajitokeza kama sio uoumbavu wa CCM! Sie wengine tunajitahidi sana kutenganisha siasa na masuala ya kitaifa lakini WAPUMBAVU WA CCM wakiongozwa na MPUMBAVU HUMPHREY POLE POLE ndio wanaosababisha yote haya! Endapo Stars wangeshinda, huyu Mpumbavu Polepole angetoka mbele na kutamba wameshinda kutokana na umaridadi wa CCM na utawala wa awamu ya 5. Kwa mambo kama haya, ndipo hata sie wengine tukitulia baada ya maumivu, tunasema, potelea mbali tufungwe tu hata kama ni magoli 10 ingawaje tunajua huko duniani sio aibu ya CCM! Lakini wengi tupo Bongo, kwahiyo potelea mbali, tufungwe, NO wafungwe tu!!
 
Na TTCL...na mengine mengi...mbele wanatanguliza neno CCM wakati ni mali yetu wote kwa kodi zetu sisi!

Wanakosea sana...watakosa support ya umma wote maana tuna itikadi tofauti!

Michezo waiache,waiendeshe kwa sura ya kitaifa bila siasa ya vyama ndani...

Walivyo sikio la kufa,hawatakaa waelewe chochote!
Mashabiki wengi walioenda hko ni chichiem
Unategemea nini chief zaidi ya kipigo

Ova
 
Na TTCL...na mengine mengi...mbele wanatanguliza neno CCM wakati ni mali yetu wote kwa kodi zetu sisi!
Wanakosea sana...watakosa support ya umma wote maana tuna itikadi tofauti!
Michezo waiache,waiendeshe kwa sura ya kitaifa bila siasa ya vyama ndani...
Walivyo sikio la kufa,hawatakaa waelewe chochote!
Umeisahau SGR......

Ni yao pia... Kama wanaijenga kwa mishahara yao vile..!!!???
 
East africa Tanzania inatia aibu kwa sababu ya viongozi walafi.

Nimemsikia.mkenya mmoja akiongea.
FB_IMG_1561318832822.jpeg
 
Back
Top Bottom