2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Wala sio kwa sababu haipendwi, manake pamoja na kutopendwa huko, haya yasingekuwa yanajitokeza kama sio uoumbavu wa CCM! Sie wengine tunajitahidi sana kutenganisha siasa na masuala ya kitaifa lakini WAPUMBAVU WA CCM wakiongozwa na MPUMBAVU HUMPHREY POLE POLE ndio wanaosababisha yote haya! Endapo Stars wangeshinda, huyu Mpumbavu Polepole angetoka mbele na kutamba wameshinda kutokana na umaridadi wa CCM na utawala wa awamu ya 5. Kwa mambo kama haya, ndipo hata sie wengine tukitulia baada ya maumivu, tunasema, potelea mbali tufungwe tu hata kama ni magoli 10 ingawaje tunajua huko duniani sio aibu ya CCM! Lakini wengi tupo Bongo, kwahiyo potelea mbali, tufungwe, NO wafungwe tu!!
Na ndo maana walio wengi wanaiombea kipigo
 
Poleni Watz
 

Attachments

  • IMG_0715.JPG
    IMG_0715.JPG
    15.4 KB · Views: 19
Kwa Hyo Kusema Kule Ndio Kumewafanya Wafungwe, Wachezaji Wenu, Hawana mawasiliano, Hawapeleki mpira mbele, Wanapiga chenga hawawezi. Mtu anakokota mpira mpaka anaporwa. Wanasubiri mpira uwafikie hawafati halafu lawama Ccm, Pumbavu Zenu
hivi wewe unaweza kufanya kazi vizuri huku bosi kakudhulumu mshahara au unajiropokea tu
 
CCM,CDM NA CUF hapo zinaingiaje labda mngesema ACT wazalendo kidogo ningeelewa mana Zito kidogo mambo ya soka anayajua
 
Kati ya mchezaji ambaye sijawahi kumuamin ni Boko.
Kama ni mfuatiliaji wa mpira Bocco si mchezaji anaetumia miguvu ni akili zaidi, uchezaji wake huonekana na anapokuwa na viungo wazuri na si wazuri tu wataofanya apate mipira mara kwa mara! Tofauti na hapo Bocco utamuweka level moja na kina Salamba
 
Back
Top Bottom