Wala sio kwa sababu haipendwi, manake pamoja na kutopendwa huko, haya yasingekuwa yanajitokeza kama sio uoumbavu wa CCM! Sie wengine tunajitahidi sana kutenganisha siasa na masuala ya kitaifa lakini WAPUMBAVU WA CCM wakiongozwa na MPUMBAVU HUMPHREY POLE POLE ndio wanaosababisha yote haya! Endapo Stars wangeshinda, huyu Mpumbavu Polepole angetoka mbele na kutamba wameshinda kutokana na umaridadi wa CCM na utawala wa awamu ya 5. Kwa mambo kama haya, ndipo hata sie wengine tukitulia baada ya maumivu, tunasema, potelea mbali tufungwe tu hata kama ni magoli 10 ingawaje tunajua huko duniani sio aibu ya CCM! Lakini wengi tupo Bongo, kwahiyo potelea mbali, tufungwe, NO wafungwe tu!!