2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Timu inasikitisha. Tunakimbiza vivuli, haiwezi kupiga pasi zaidi ya moja, hatuna nguvu wala pumzi. Tunachojua ni kula miwa, tuna bahati hadi sasa hatupo 10 vs 11 uwanjani. Kipa ndiye kidogo ameweza kufanya kazi yake, ameokoa magoli kama 3 so far. Saido Mane angekuwepo timu CCM ingekuwa imeshapigwa magoli ya idadi za vidole. Amunike atakuwa anaicheka Tanzania....
 
Daah...Naona Hassan kaamua kumvunja kabisa Keita.

Ila mazee tumezidiwa aseeh
 
Timu inasikitisha. Tunakimbiza vivuli, haiwezi kupiga pasi zaidi ya moja, hatuna nguvu wala pumzi. Kipa ndiye kidogo ameweza kufanya kazi yake, ameokoa magoli kama 3 so far. Saido Mane angekuwepo timu CCM ingekuwa imeshapigwa magoli ya idadi za vidole. Amunike atakuwa anaicheka Tanzania....
Huwezi kuzungumzia suala la pumzi kwa wachezaji wa timu ya taifa ambao wanacheza TPL karibu kila mechi!

Tatizo ni mbinu na aina ya wachezaji tulionao, Striking ya Senegal inaundwa na professional players, kwenye idara ya midfield ndo balaa.
 
Nilimsikia mmoja (sijui alikuwa beki namba 2 )anasema mpira haukubali lol
 
SENEGAL SQUAD

Goalkeepers:

-Abdoulaye Diallo (Rennes, France)
-Alfred Gomis (Spal, Italy)
-Edouard Mendy (Reims, France)

Defenders:

-Kalidou Koulibaly (Napoli, Italy)
-Moussa Wague (FC Barcelona, Spain)
-Pape Abdou Cisse (Olympiacos, Greece)
-Salif Sane (Schalke,Germany)
-Youssouf Sabaly (Bordeaux,France)
-Lamine Gassama (Goztepe, Turkey)
-Saliou Ciss (Valenciennes, France)
-Cheikhou Kouyate (Crystal Palace, England)

Midfielders:

-Alfred Ndiaye (Malaga, Spain)
- Santy Ngom (Nancy, France)
- Idrissa Gana Gueye (Everton, England)
-Keprin Diatta (Club Brugge, Belgium)
-Pape Alioune Ndiaye (Galatasaray, Turkey)
-Sidy Sarr (Lorient, France)
-Henri Saivet (Bursaspor, Turkey)

Forwards:

-Ismaila Sarr (Rennes, France)
-Keita Balde (Inter Milan, Italy)
- Mbye Niang (Rennes, France)
-Moussa Konate (Amiens, France)
-Mbaye Diagne (Galatasaray, Turkey)
- Sada Thioub (Nimes, France)
-Sadio Mane (Liverpool, England)

Mungu ibarik taifa stars .......[emoji24][emoji2807]
 
Mungu ibariki taifa stars ifungwe angalau goli tatu.
 
CCM mshukuruni sana huyu Refa... Si kwa kubebwa hukooo
 
Huwezi kuzungumzia suala la pumzi kwa wachezaji wa timu ya taifa ambao wanacheza TPL karibu kila mechi!

Tatizo ni mbinu na aina ya wachezaji tulionao, Striking ya Senegal inaundwa na professional players, kwenye idara ya midfield ndo balaa.
Pumzi sidhani kama inahitaji kucheza ulaya au south Amerika. Ni mazoezi ya aina mbali mbali yanayojenga. Sisi tukiambiwa tukimbie, tuingie gym, tuogelee, tupractise for 4 hrs kila siku utasikia ooh hivyo vitu havihusiani na soka. Soka sio kukimbia kama wanariadha, sio kuogelea, sio kunyanyua vyuma. unadhani misuli ya mapafu itajenga vipi?
 
Brother bila ya kuwa na pumzi ya kutosha huwezi kucheza mpira!

Pumzi ni jambo la kwanza unapokuwa uwanjani kama huwa unacheza mpira au ulishawahi kucheza ni KM nyingi sana utakimbia je hizo KM utazikimbiaje bila kuwa na pumzi ya kutosha?
Msuva ana pumzi nyingi ana mazoezi ya kutosha ila nani atamlisha mipira ilihali idara ya midfield kuna mapambo?
Wings hovyo kabisa, Samatta na Bocco leo sio average players tena unaweza kusema ni wachezaji wa Geita Gold.

Viva Senegal
 
Ukisikia magazeti yanavyompamba Fei Toto unaweza kusema ni Idrissa Gueye wa Senegal. Kumbe ni mchezaji wa kung'ara mechi na Mbao. Utumbo mtupu.
Sisi tuna kila sababu ya kudhalilishwa tu tukianza makelele Unadhani tuna team ya maana huyo mtoto Kuna Watu walituambia anaweza kucheza Barcelona
 
Back
Top Bottom