Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Gndu!wametuwekeaSema ni makosa ya timu ya CCM...!
CCM waliamua kuipora na kuigeuza ni yao,hivyo ni vizuri waendelee nayo!
Wala sio kwa sababu haipendwi, manake pamoja na kutopendwa huko, haya yasingekuwa yanajitokeza kama sio uoumbavu wa CCM! Sie wengine tunajitahidi sana kutenganisha siasa na masuala ya kitaifa lakini WAPUMBAVU WA CCM wakiongozwa na MPUMBAVU HUMPHREY POLE POLE ndio wanaosababisha yote haya! Endapo Stars wangeshinda, huyu Mpumbavu Polepole angetoka mbele na kutamba wameshinda kutokana na umaridadi wa CCM na utawala wa awamu ya 5. Kwa mambo kama haya, ndipo hata sie wengine tukitulia baada ya maumivu, tunasema, potelea mbali tufungwe tu hata kama ni magoli 10 ingawaje tunajua huko duniani sio aibu ya CCM! Lakini wengi tupo Bongo, kwahiyo potelea mbali, tufungwe, NO wafungwe tu!!Hah et ya ccm!!!
Ila ccm haipendwi
Mashabiki wengi walioenda hko ni chichiemNa TTCL...na mengine mengi...mbele wanatanguliza neno CCM wakati ni mali yetu wote kwa kodi zetu sisi!
Wanakosea sana...watakosa support ya umma wote maana tuna itikadi tofauti!
Michezo waiache,waiendeshe kwa sura ya kitaifa bila siasa ya vyama ndani...
Walivyo sikio la kufa,hawatakaa waelewe chochote!
HaaaaaaaaaSema ni makosa ya timu ya CCM...!
CCM waliamua kuipora na kuigeuza ni yao,hivyo ni vizuri waendelee nayo!
Umeisahau SGR......Na TTCL...na mengine mengi...mbele wanatanguliza neno CCM wakati ni mali yetu wote kwa kodi zetu sisi!
Wanakosea sana...watakosa support ya umma wote maana tuna itikadi tofauti!
Michezo waiache,waiendeshe kwa sura ya kitaifa bila siasa ya vyama ndani...
Walivyo sikio la kufa,hawatakaa waelewe chochote!
Ni saa moja kabla ya mchezo sio siku
Mm nlikuwa siamini km hii timu ni CCM mpk nlipomuona Steve MTU mfupi nae anajipambanua na timuMashabiki wengi walioenda hko ni chichiem
Unategemea nini chief zaidi ya kipigo
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pigeni la 2 basi
Manula kacheza vizuri sana, magoli mawili hakuna makosa aliyofanya.
Sema ni makosa ya timu ya CCM...!
CCM waliamua kuipora na kuigeuza ni yao,hivyo ni vizuri waendelee nayo!
Boko uwa ana uwezo mdogo wa kufikiri