2019 Africa Cup of Nations Special Thread

jichagulie tusi wewe mwenyewe!
 
Inawezekana kabisa,,,kwenye soka lolote lanaweza kutokea
 
 
Nasikia eti mtanzania yeyote hata kama ni kabila gani ukiwa usingizini ndoto lazima uote kwa kiswahili
 
Kwa ubashiri wako huu unasema Kenya atakuwa na point 3 halafu atafungwa(loss) mechi 2 na kudraw mechi 1.

[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Itakuwa ni dhambi kubwa na kutokuutendea haki mchezo mzuri wa mpira wa miguu na wapenzi wake kwa timu hii ya Taifa Stars kufuzu kwa hatua ya mtoano halafu moja kati ya timu nzuri ya Senegal au Algeria kutolewa!..
Tuendelee kujipanga kwa kufuata njia sahihi za walipofika wenzetu na sio kutegemea "imani" zisizokuwepo!.
 
Nadhani hajawaona Algeria walivomnyanyasa kenya jana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…