Encryption
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 997
- 1,348
Nipo siti ya mbele nikisubiri kuhakikishiwa na wadau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiogope,kuota siyo dhambi maana Mungu ameziweka ndoto kuwa sehemu ya maisha yetu ili zitufariji kwa muda pale tunapopata upepo mbaya.
jichagulie tusi wewe mwenyewe!Najua wengi mmekata tamaa baada ya kupokea kichapo mujarabu kutoka kwa Senegal, Ila Huwezi amini hii timu itavuka hatua hii ya makundi.
Raundi inayofata Itakuwa Kama ifuatavyo:
Tanzania itashinda 2-0 mechi ya kenya na kuwa na point 3 .
Algeria atamfunga senegal 3-0 na kufikisha point 6
Msimamo utakuwa
1. Algeria 6
2. Senegal 3
3.Tanzania 3
4. Kenya 0
Raundi ya mwisho
Tanzania atadraw bila kufungana na Algera na kufikisha point 4
Kenya atadraw 1-1 na Senegal na kufikisha point 3
Msimamo wa mwisho utakuwa
1.Algeria point 7 goli difference 5
2. Tanzania point 4 goli difference 0
3. Senegal point 4 goli difference -1
4. Kenya point 3 goli difference-4
Hivyo Tanzania itaipita senegal kwa tofauti ya ma goli ya kufunga na kufungwa.
Najua wengi mtabeza lakini mwisho wa siku mtanitafuta ili niwatabirieni mambo yenu yajayo
Najua wengi mmekata tamaa baada ya kupokea kichapo mujarabu kutoka kwa Senegal, Ila Huwezi amini hii timu itavuka hatua hii ya makundi.
Raundi inayofata Itakuwa Kama ifuatavyo:
Tanzania itashinda 2-0 mechi ya kenya na kuwa na point 3 .
Algeria atamfunga senegal 3-0 na kufikisha point 6
Msimamo utakuwa
1. Algeria 6
2. Senegal 3
3.Tanzania 3
4. Kenya 0
Raundi ya mwisho
Tanzania atadraw bila kufungana na Algera na kufikisha point 4
Kenya atadraw 1-1 na Senegal na kufikisha point 3
Msimamo wa mwisho utakuwa
1.Algeria point 7 goli difference 5
2. Tanzania point 4 goli difference 0
3. Senegal point 4 goli difference -1
4. Kenya point 3 goli difference-4
Hivyo Tanzania itaipita senegal kwa tofauti ya ma goli ya kufunga na kufungwa.
Najua wengi mtabeza lakini mwisho wa siku mtanitafuta ili niwatabirieni mambo yenu yajayo
jichagulie tusi wewe mwenyewe!
Nasikia eti mtanzania yeyote hata kama ni kabila gani ukiwa usingizini ndoto lazima uote kwa kiswahiliNajua wengi mmekata tamaa baada ya kupokea kichapo mujarabu kutoka kwa Senegal, Ila Huwezi amini hii timu itavuka hatua hii ya makundi.
Raundi inayofata Itakuwa Kama ifuatavyo:
Tanzania itashinda 2-0 mechi ya kenya na kuwa na point 3 .
Algeria atamfunga senegal 3-0 na kufikisha point 6
Msimamo utakuwa
1. Algeria 6
2. Senegal 3
3.Tanzania 3
4. Kenya 0
Raundi ya mwisho
Tanzania atadraw bila kufungana na Algera na kufikisha point 4
Kenya atadraw 1-1 na Senegal na kufikisha point 3
Msimamo wa mwisho utakuwa
1.Algeria point 7 goli difference 5
2. Tanzania point 4 goli difference 0
3. Senegal point 4 goli difference -1
4. Kenya point 3 goli difference-4
Hivyo Tanzania itaipita senegal kwa tofauti ya ma goli ya kufunga na kufungwa.
Najua wengi mtabeza lakini mwisho wa siku mtanitafuta ili niwatabirieni mambo yenu yajayo
Kwa ubashiri wako huu unasema Kenya atakuwa na point 3 halafu atafungwa(loss) mechi 2 na kudraw mechi 1.Najua wengi mmekata tamaa baada ya kupokea kichapo mujarabu kutoka kwa Senegal, Ila Huwezi amini hii timu itavuka hatua hii ya makundi.
Raundi inayofata Itakuwa Kama ifuatavyo:
Tanzania itashinda 2-0 mechi ya kenya na kuwa na point 3 .
Algeria atamfunga senegal 3-0 na kufikisha point 6
Msimamo utakuwa
1. Algeria 6
2. Senegal 3
3.Tanzania 3
4. Kenya 0
Raundi ya mwisho
Tanzania atadraw bila kufungana na Algera na kufikisha point 4
Kenya atadraw 1-1 na Senegal na kufikisha point 3
Msimamo wa mwisho utakuwa
1.Algeria point 7 goli difference 5
2. Tanzania point 4 goli difference 0
3. Senegal point 4 goli difference -1
4. Kenya point 3 goli difference-4
Hivyo Tanzania itaipita senegal kwa tofauti ya ma goli ya kufunga na kufungwa.
Najua wengi mtabeza lakini mwisho wa siku mtanitafuta ili niwatabirieni mambo yenu yajayo
Na huyu hapo
Nadhani hajawaona Algeria walivomnyanyasa kenya jana...Itakuwa ni dhambi kubwa na kutokuutendea haki mchezo mzuri wa mpira wa miguu na wapenzi wake kwa timu hii ya Taifa Stars kufuzu kwa hatua ya mtoano halafu moja kati ya timu nzuri ya Senegal au Algeria kutolewa!..
Tuendelee kujipanga kwa kufuata njia sahihi za walipofika wenzetu na sio kutegemea "imani" zisizokuwepo!.
Nadhani hajawaona Algeria walivomnyanyasa kenya jana...